Your cart is empty
Kuhusu SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED
Tumejipanga kutoa huduma bora na za kuaminika jijini Arusha. Kuanzia huduma za stationery za kisasa Ngarenaro NHC, mgahawa wa Delicious Mahanjumati na bucha ya kisasa Morombo, hadi biashara ya mifugo bora kama ng'ombe, ngamia na mbuzi, lengo letu ni kukuwezesha kwa ubora na uadilifu wa hali ya juu.
Wasiliana Nasi
Kutoa huduma bora za stationery, vyakula vitamu, nyama safi na mifugo kwa uaminifu na viwango vya juu kwa wateja wetu wote.
Kuwa kampuni inayoongoza na tegemeo Arusha na kote nchini kwa kutoa huduma na bidhaa mchanganyiko zenye ubora wa uhakika.
Uongozi Wetu
Mkurugenzi
Mkurugenzi
Your cart is empty
Resolving Details