Your cart is empty
Nyama Safi, Samaki, Kuku na Viungo
Bucha la Kisasa la SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED linatoa nyama safi, samaki, kuku, mayai na viungo mbalimbali vya vyakula. Tunapokea oda za usambazaji ndani ya jiji la Arusha na mikoani.
Wasiliana NasiHuduma za Bucha
Nyama ya ng'ombe, mbuzi na kondoo yenye ubora wa hali ya juu.
Samaki safi na kuku bora kwa mahitaji yako ya kila siku.
Mayai safi na viungo mbalimbali vya kupikia.
Tunapeleka oda zako Arusha nzima na mikoani kote.
· +255 755544733
Ngarenaro NHC & Morombo, Arusha, Tanzania
Your cart is empty
Resolving Details