SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED
About SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED

Mgahawa wa SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED

Delicious Mahanjumati

DELICIOUS MAHANJUMATI ni mgahawa wa SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED unaotoa vyakula vya kila aina kwa ubora wa hali ya juu. Mbali na huduma za mgahawa, tunapokea oda za maandalizi ya vyakula kwa ajili ya sherehe na matukio mbalimbali.

Wasiliana Nasi


Huduma za Mgahawa

Tunachotoa

Vyakula vya Kila Aina

Chaguo pana la vyakula vitamu vinavyopatikana kila siku.

Oda za Sherehe

Maandalizi ya vyakula kwa ajili ya harusi, send-off na matukio mengine.

Huduma ya Haraka

Utayarishaji na uwasilishaji wa vyakula kwa wakati.



Wasiliana Nasi

Phone

· +255 755544733

Address

Ngarenaro NHC & Morombo, Arusha, Tanzania

My Cart

Your cart is empty

 

 

Resolving Details

Translate