Your cart is empty
Ngamia, Ng'ombe, Mbuzi na Kondoo
SALAFI INVESTMENT COMPANY LIMITED inajishughulisha na biashara ya mifugo bora ikiwemo ngamia, ng'ombe, mbuzi na kondoo. Tunahakikisha mifugo yote inayouzwa ina afya njema na bei nafuu.
Wasiliana NasiAina za Mifugo
Ng'ombe wenye afya bora kwa ajili ya nyama au ufugaji.
Ngamia wa aina mbalimbali kwa mahitaji yako.
Mbuzi na kondoo bora kwa bei nafuu.
· +255 755544733
Ngarenaro NHC & Morombo, Arusha, Tanzania
Your cart is empty
Resolving Details